Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,451
- 17,939
FT 1-1
Huna haja ya kuangalia game haina hadhi mkuu.So far game ya fainal ni ile ya psg dhidi ya bayern. Game zote mbili. Hii haina hadhi ya kuwa game ya fainal.
KVara kaingia na kutolewa leo, hakuna jiwe lisilo funuliwa Leo.Hata kona moja leo imewashinda kuipata ndio mje muongee kuhusu jambo zito kama ushindi??
Naichukia Arsenal ila napozidi kuangalia mechi kuna huruma inanijia.KVara kaingia na kutolewa leo, hakuna jiwe lisilo funuliwa Leo.
Mwaka wa Arsenal kunyanyua makwapa.. 🏆 🏆Naichukia Arsenal ila napozidi kuangalia mechi kuna huruma inanijia.
Mnapitia manyanyaso makali mno ambayo kama binadamu sitamani kuona mpinzani wangu anayapitia.
Hivi sheria haikatazi? Ipo siku watu watazama na miwa.Huyu beki wa PSG Pancho utadhani ni mbusii muda wote kutafunatafuna.
HahaArteta atulie aache Bangi zake, huku sio epl 😂
Unaangalia mechi lakini?Mwaka wa Arsenal kunyanyua makwapa.. 🏆 🏆
Analeta taharuki isiyokuwa na ulazima eti ana demand penatiArteta atulie aache Bangi zake, huku sio epl 😂