Full Time UEFA Final: PSG 1 -1 Arsenal - Puskás Arena | May 30, 2026 - Baada ya Penati PSG anaibuka Bingwa (4-3)

Full Time UEFA Final: PSG 1 -1 Arsenal - Puskás Arena | May 30, 2026 - Baada ya Penati PSG anaibuka Bingwa (4-3)

Nani kubeba Ubingwa wa UEFA 2026?🏆


  • Total voters
    105
  • Poll closed .
Arsenal ni level ya JKT au TRA. Kabebwa na fluke tu
Sio tu sisi peke yetu tunaoshangaa, hata UEFA nao wanajiuliza mlichukuaje chukuaje ubingwa kama mpira wenu ndio huu?

Dakika 90 on target 1 na kona 0???

Na mnataka baada ya hapa muwanie tuzo za Ballon Dor?
PSG ndio wa kushangaa kwa kushindwa kumaliza mechi ndani DK 90 sio Arsenal kwa kufika hapo.
 
Back
Top Bottom