Full Time UEFA Final: PSG 1 -1 Arsenal - Puskás Arena | May 30, 2026 - Baada ya Penati PSG anaibuka Bingwa (4-3)

Nani kubeba Ubingwa wa UEFA 2026?🏆


  • Total voters
    105
  • Poll closed .
Umeteuliwa kuwa na sauti ya magufuli kuanzia leo muda huu sauti yako ina tatizo
 
Umeteuliwa kuwa na sauti ya magufuli kuanzia leo muda huu sauti yako ina tatizo
 
Oya wapi nisogee
 
Ha ha ha visingizio vimeanza
Licha ya ubovu wa kipa lakini hili goli halikutakiwa kusimama kutokana na hand ball iliyofanyika kabla ya shambulizi.

Ni kama UEFA wanalengo la kumpa ubingwa Arsenal

Lakini hii ndio karma

PSG alinufaika na huu uonezi kwenye game yake na Bayern
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…