FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Timu yetu ni mpya wana simba tuna akili kubwa inabidi tuelewe hili, hawa wazee wataelawa shoo.
 
Wale twaruka priiiiiiiiiiiiiiiii🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸💚💚💛🖤🖤🖤🖤🖤


Wapi Deeeeeeeeejjjjjjjjayyyy
 
Simba wajipange na wawe serious, hasa hizi game.Yanga hawatanii.
 
Simba walidhani kona watapata goal la kusawazisha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…