FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Wadau aisee sijui kwanini huyu jamaa askari wa jwtz anaenda kuangalia mpira na raia Sasa ilikua hivi huyu mjeshi ni shabiki wa yanga siku ya mechi ya simba na yanga ikatokea ubishani Fulani mda huo yanga anaongoza Gori 1 Sasa kulikua na mashabiki wa simba 2 walikua wanamaindi mjeshi anavyotoa kauli mbovu wakamwambia kwani wewe unasemaje ndio ugomvi ukaanzia hapo aisee kumbe wanajeshi hamna kitu jamaa alichakazwa na raia wa 2 tu wale jamaa kugundua alikua mjeshi mtaani hawaonekani Kwa mara ya Kwanza najionea mwanajeshi akipigwa aisee jamaa alijaa damu
Sasa wewe endelea kukaa hapo mtaani yakukute ya Yombo.
🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️
 
20240824_112841.jpg
 
Back
Top Bottom