FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Screenshot_2024-08-09-18-34-08-40_6012fa4d4ddec268fc5c7112cbb265e7.jpg
 
Wadau aisee sijui kwanini huyu jamaa ni shabiki wa yanga siku ya mechi ya simba na yanga ikatokea ubishani Fulani mda huo yanga anaongoza Gori 1 Sasa kulikua na mashabiki wa simba 2 walikua wanamaindi jamaa anavyotoa kauli mbovu wakamwambia kwani wewe unasemaje ndio ugomvi ukaanzia hapo.

Aisee jamaa alichakazwa na raia wa 2 tu, wale jamaa kugundua alikua mjeshi mtaani hawaonekani Kwa mara ya Kwanza najionea mwanajeshi akipigwa aisee jamaa alichakazwa
 
Wana chapika tu sana mbona kuna mmoja week ilio pita ali panda boda aka goma kulipa alichapwa ndondi hadi tukaenda kuamua
 

Attachments

  • FwMLmOmWYB0BiZR.jpeg
    FwMLmOmWYB0BiZR.jpeg
    86.4 KB · Views: 3
Wadau aisee sijui kwanini huyu jamaa askari wa jwtz anaenda kuangalia mpira na raia Sasa ilikua hivi huyu mjeshi ni shabiki wa yanga siku ya mechi ya simba na yanga ikatokea ubishani Fulani mda huo yanga anaingoza Gori 1 Sasa kulikua na mashabiki wa simba 3 walikua wanamaindi mjeshi anavyotoa kauli mbovu wakamwambia kwani wewe unasemaje ndio ugomvi ukaanzia hapo aisee kumbe wanajeshi hamna kitu jamaa alichakazwa na raia wa 3 tu wale jamaa kugundua alikua mjeshi mtaani hawaonekani
Wao hawanashida. Watawasubiri hapohapo kukiwa na mechi nyingine. Ambao hamkuhusika, this time mtahusika 😂
 
Back
Top Bottom