FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

....... una maana miaka kumi ijayo? Gamondi atakuwa keshastaafu. Kabla ya hapo Simba itaendelea kunyooshwa na Yanga sana.
Gamondi alinyooshwa Simba mbovu kwenye ngao ya jamii na msimu huu atanyooshwa na Simba Bora kwenye mechi ya ligi, mark my words.
 
We dogo hujui kabumbu, umeona kitu gani cha ajabu pale zaidi ya kukamia, Simba ile kutoa maboko na kushindwa kufanya covering ndo kumefanya wafungwe, Ila Bora wamefungwa kwasababu makosa hayaendi kujirudia Tena.

Ngoja tukajipange Tena, next game ngogwe fc mnakufa 3-0.
Acha kuota, amka chap usije ukanya kitandani
 
Ni matokeo ya bahati mbaya tu, so leo mlikuwa wenye bahati. Mlitumia vizuri kosa la timing ya mtego wa kuotea, na mkaamua matokeo.

Hongereni, ila kwenye ligi tutarudi imara zaidi na tutachukua points zote inshallah, maana timu tunayo msimu huu. Naisubiti derby ya ligi kwa hamu.

Ova
Huna timu washukuruni marefa na washika vibendera, ulikuwa unapasuka nne. Namba kumi hauna,wale mastriker wote utawaona wabaya.
 
Back
Top Bottom