Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
....... una maana miaka kumi ijayo? Gamondi atakuwa keshastaafu. Kabla ya hapo Simba itaendelea kunyooshwa na Yanga sana.Mechi ijayo gamondi anakula rungu tatu kwenye kile kipara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
....... una maana miaka kumi ijayo? Gamondi atakuwa keshastaafu. Kabla ya hapo Simba itaendelea kunyooshwa na Yanga sana.Mechi ijayo gamondi anakula rungu tatu kwenye kile kipara.
Gamondi alinyooshwa Simba mbovu kwenye ngao ya jamii na msimu huu atanyooshwa na Simba Bora kwenye mechi ya ligi, mark my words........ una maana miaka kumi ijayo? Gamondi atakuwa keshastaafu. Kabla ya hapo Simba itaendelea kunyooshwa na Yanga sana.
Endelea kujichezea kwapaGamondi alinyooshwa Simba mbovu kwenye ngao ya jamii na msimu huu atanyooshwa na Simba Bora kwenye mechi ya ligi, mark my words.
Acha kuota, amka chap usije ukanya kitandaniWe dogo hujui kabumbu, umeona kitu gani cha ajabu pale zaidi ya kukamia, Simba ile kutoa maboko na kushindwa kufanya covering ndo kumefanya wafungwe, Ila Bora wamefungwa kwasababu makosa hayaendi kujirudia Tena.
Ngoja tukajipange Tena, next game ngogwe fc mnakufa 3-0.
Huwezi kuhesabia kama ni goli wakati kibendera kilikuwa juu muda mrefu,Ila goli la Aziz k refa wa pembeni kazingua
Kaangalie upya. Wachambuzi karibu kila media wameeleza ni makosa ya kibenderaHuwezi kuhesabia kama ni goli wakati kibendera kilikuwa juu muda mrefu,
😂😁Huwezi kuhesabia kama ni goli wakati kibendera kilikuwa juu muda mrefu,
Njoo tenaa na timu yako mbovuSawa Ambangile
Ninachosema ni kuwa umakini wa kuzuia shambulizi unapungua ukiona kuwa kibendera kipo juu, vipi hao wachambuzi hawajazungumzia faulo aliyochezewa mchezaji wa simba ndani ya box dakika ya 93?Kaangalie upya. Wachambuzi karibu kila media wameeleza ni makosa ya kibendera
Eti hapo MMANG'ATI ndio kamaliza kuchambua. Aisee
Basi tufanye imeisha 2-1Ninachosema ni kuwa umakini wa kuzuia shambulizi unapungua ukiona kuwa kibendera kipo juu, vipi hao wachambuzi hawajazungumzia faulo aliyochezewa mchezaji wa simba ndani ya box dakika ya 93?
Ufanye na nani?Basi tufanye imeisha 2-1
.Ufanye na nani?
😂😁😁Eti hapo MMANG'ATI ndio kamaliza kuchambua. Aisee
Kamanda namna gani tena?Pyeeee
Burudika kwa raha zakoZimefika mdogo wangu. 🙏😘
Wakati wakiendelea kufurahia vile wanavyojitafuta sisi tunacheka tu hahahaaa mpaka siku wakijipata sisi waleee. 👉👉
Embu rudia..!!Nasema hivi hatufungwi mara tatu mfululizo.
Huna timu washukuruni marefa na washika vibendera, ulikuwa unapasuka nne. Namba kumi hauna,wale mastriker wote utawaona wabaya.Ni matokeo ya bahati mbaya tu, so leo mlikuwa wenye bahati. Mlitumia vizuri kosa la timing ya mtego wa kuotea, na mkaamua matokeo.
Hongereni, ila kwenye ligi tutarudi imara zaidi na tutachukua points zote inshallah, maana timu tunayo msimu huu. Naisubiti derby ya ligi kwa hamu.
Ova
Hatuwezi kuhesabu ila kama tungekuwa na VAR lile Pacome na Aziz yale magoli plus tuta la Aziz K.Mnajiona mnatimu sababu ya marefa na washika vibendera. Mjiandae msimu huu.Huwezi kuhesabia kama ni goli wakati kibendera kilikuwa juu muda mrefu,