FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Bado kikosi hakijawa timu, ila kama itaendelea hivi huko mbeleni mda wa vicheko kwa wanaSimba utakuwa wa muda mrefu mno.
Sana mkuu,
Nilipoanza kucheck hii mechi nilitegemea magoli kadhaa kwa upande wa Yanga lakini Simba walicheza pira safi bila kujali kipindi kifupi walichokuwa pamoja.
 
Kwa mtazamo wangu nimeiona Simba mpya yenye kuweza kutumainiwa katika malengo makubwa.

Mimi nilikuwa siangalii mechi nilikuwa naangalia timu yangu imefikia wapi kwenye progress.

Simba imecheza soka safi sana tena sana japo upande wa kulia ndio umeonekana kuwa na shida kidogo hususan eneo la Kapombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…