FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Kocha wa simba bana duh, sasa balua anafanya nini humo ndani? Timu imelewewa baada aweke mtu wa kuwafanya mabeki wawe busy.
 
'Ameua katika eneo zuri kabisaaa, Simba anachapwaaa hapaaaa, Sssssimbaa anagongwa msumariiiii, Sssimbaa anakula chumaaa, Ssssimbaa anakula bombaaa wooowww jastiii wooowww Maxi warafantasi Goooolll”

Goli linaweza kuwa la kawaida tuu ila mtangazaji ndo akakukwaza zaidi ya goli.

Yaani Mpenja Fala sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…