Bonge la FundiPacome kudadeeek
KabiiiiiiiiiisaKInachoonekana hapa ni Yanga kuifundisha Simba Mpira
Tutailipa hiiRefa anajitahidi kuzipunguza tu.
MpiraKibu anacheza nn 😂😂
Mkuu Mimi nipo kwenye madam sema Dr Restart alikuwa amechafua Hali ya hewaHayo hapa hayatuhusu jikite kwenye maada mkuu
Jikite kwenye mpira tafadhali.Leo domo la AzIz limekuwa jekundu ka tako la nyani.
Kasema alikamwe amchukue mk
NawachukiaKabiiiiiiiiiisa
Jamaa anajifua haswa sikuhiziPacome kudadeeek
Kwa kifupi zingekuwa tatu.Tutailipa hii
anajua mpiraJamaa anajifua haswa sikuhizi
Umechelewa! Mimi nakuchukia since day oneNawachukia