Eneo baya sana kwetuFreeeeeee kick
Duuh bora ametoka maana alikuwa anaipa timu mzigo mkubwa sana.Ahsante kocha.
Japo umechelewa
Kapombe out
Haya ndo mambo sasa Japo amechelewa Kufanya maamuziAhsante kocha.
Japo umechelewa
Kapombe out
Tulia bro utanipigia baadae niangalie mnavo kandwa hapa na AzizPokea simu achana na mpira