FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

1-0, kikosi kipo. Huko mbeleni tutacheka
Mi nilipocheki kipindi cha kwanza tu nikasema hii ni timu.

Hapo bado wachezaji hawajapata muunganiko, matokeo ya hii mechi wala sio kitu ambacho naweza kujilaumu.

Na hii inaenda kuwa kama msimu uliopita, japo Gongowazi tuliwafunga lakini wao waliridhika kutokana na kile ambacho timu yao ilikionesha.

Tuipe muda timu kuna mengi mazuri yanakuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…