GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Mwiko umewanasia kabisa vijana wataendeleza kazi
Umesahau Kipenga Extra
tuna hama hapoHamna ushindi yanga ataupata kwa urahisi chamanzi mwaka huu
Nipo chamazi hapa kiponza uncle bright.Refa tunaishi chamazi hatuna haraka ongeza dakika 10
Kwanin ππHuwa Simba na Yanga wakifingwa naskiaga Raha sana
Wamelambishwa Asali Wanatoka Ute Tuwazee wa supu na chapati tatu