Tripple Jay
JF-Expert Member
- Jul 9, 2017
- 1,012
- 1,939
๐๐๐๐๐ Itakua hivoooo jmn sio kwa kufungwa hukuMbeba hirizi wa timu (Bacca) leo hay upo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐๐ Itakua hivoooo jmn sio kwa kufungwa hukuMbeba hirizi wa timu (Bacca) leo hay upo
Kupiga Hapo HapoMishono haitapona ๐๐๐
Wee. Koma kabisa!Yanga 6 0 Tabora hutaki andamana
Kumetulia utazani Tanganyika hakuna watu๐คฃGongowazi watalala na mwiko wao kama kawaida.
Imekuwaje leo?Alryt...Leo jamaa wameotewa. Ila goli tatu nyingi nyieee
Hamjaanza kukamiwa mtaniAhoua = Dube + Baleke + Aziz ki + Pacome + Chama + Mzize + Max Mpia
Aisee Mkuu Husikii Raha LeoHakuna cha pole panya buku hawa, ubaya ubwela.
Mwili mzima hauna ushirikianoHuyu jamaa mpaka Sasa hatujui kalewa Nini?!
View attachment 3146277
Hii ya pili bado mbiliYanga walipocheza na azam na kubamizwa moja kwa mtungi nikomenti inatakiwa inyukwe mechi tatu mfululizo mpaka mashabiki wake akili ziwakae sawa
Umesahau Kipenga ExtraKesho asubuhi tunaanza na Master Tindwa pale Clouds fm, tunahamia kwa Crown Fm kwa Jemedari Said Mwana wa Kazumari kisha tunamalizia na Efm kwa Mzee wa Jambia