Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Naanza usiku huu. πππ
Mkuu, nenda ukalale utuachie timu letu. Limetupa makombe sana.Hapa kilichobakia kwa uongozi wa Yanga ni kumtimua tu kocha na benchi lake la ufundi. No way out.
Maana timu inahitaji falsafa mpya, inahitaji morali, na pia nidhamu. Kinyume na hapo, haya matokeo yataendelea kujirudia. Dalili zilianza mapema tu kuonekana.
π₯±Hatimaye aziziki kawa la aziiizzzzz habibty from dubaiii
Ukweli lazima usemwe. Uongozi usippchukua hatua za haraka, mambo yanaweza kuharibika zaidi. Kiufupi kocha Gamondi mbinu zake kwa sasa zinasomeka kirahisi kwa wapinzani wake.Kumekucha. Mbona mapema sana mkuu?! Tulieni dawa iwaingie.
Mara hii gamondi siyo master tena wanangu wa thupu?Mimi sina shida. Navumilia vizuri tu. Ila tukija kwenye timu; no way out! Kocha na benchi lake la ufundi, wanatakiwa kutolewa sadaka ili maisha nayo kwenye timu yaendelee.
By the way, ni jukumu la viongozi kuamua cha kufanya. Ila kiukweli timu inahitaji mabadiliko ya benchi la ufundi.
Msiba mzito wallahy ππππMsibaππ
Gamond hatuwezi kula naye Kirisimasi, kirisimasiHapa kilichobakia kwa uongozi wa Yanga ni kumtimua tu kocha na benchi lake la ufundi. No way out.
Maana timu inahitaji falsafa mpya, inahitaji morali, na pia nidhamu. Kinyume na hapo, haya matokeo yataendelea kujirudia. Dalili zilianza mapema tu kuonekana.
Hukusema wakati ligi imeanza πππ. Vumilieni tuMimi sina shida. Navumilia vizuri tu. Ila tukija kwenye timu; no way out! Kocha na benchi lake la ufundi, wanatakiwa kutolewa sadaka ili maisha nayo kwenye timu yaendelee.
By the way, ni jukumu la viongozi kuamua cha kufanya. Ila kiukweli timu inahitaji mabadiliko ya benchi la ufundi.
Sio Balthazar ππFt
Mwiko nyuma 1 - equatorial guinea 3(tabora united)
Kalewa asali ya tabora
Mashabiki wa Yanga at least nanyi muumie kidogo khaaaNani anaikumbuka Yanga mdebwedo? Hii ni kwa wahenga tu, ile Yanga mdebwedo ndiyo hii sasa π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Siku zote timu inapofanya vibaya, kocha ndiye anayewajibika.Gamondi tena....?