Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Naanza usiku huu. 😀😀😀
IMG_4222.jpeg
 
Hapa kilichobakia kwa uongozi wa Yanga ni kumtimua tu kocha na benchi lake la ufundi. No way out.

Maana timu inahitaji falsafa mpya, inahitaji morali, na pia nidhamu. Kinyume na hapo, haya matokeo yataendelea kujirudia. Dalili zilianza mapema tu kuonekana.
Mkuu, nenda ukalale utuachie timu letu. Limetupa makombe sana.
 
Mimi sina shida. Navumilia vizuri tu. Ila tukija kwenye timu; no way out! Kocha na benchi lake la ufundi, wanatakiwa kutolewa sadaka ili maisha nayo kwenye timu yaendelee.

By the way, ni jukumu la viongozi kuamua cha kufanya. Ila kiukweli timu inahitaji mabadiliko ya benchi la ufundi.
Mara hii gamondi siyo master tena wanangu wa thupu?
 
Hapa kilichobakia kwa uongozi wa Yanga ni kumtimua tu kocha na benchi lake la ufundi. No way out.

Maana timu inahitaji falsafa mpya, inahitaji morali, na pia nidhamu. Kinyume na hapo, haya matokeo yataendelea kujirudia. Dalili zilianza mapema tu kuonekana.
Gamond hatuwezi kula naye Kirisimasi, kirisimasi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi sina shida. Navumilia vizuri tu. Ila tukija kwenye timu; no way out! Kocha na benchi lake la ufundi, wanatakiwa kutolewa sadaka ili maisha nayo kwenye timu yaendelee.

By the way, ni jukumu la viongozi kuamua cha kufanya. Ila kiukweli timu inahitaji mabadiliko ya benchi la ufundi.
Hukusema wakati ligi imeanza 😀😀😀. Vumilieni tu
 
Hersi Out
Gamondi out

Hamisa mobeto Out
Gsm out

Diarra out
Aziz ki out
Chamazi out

Hivyo ni vichwa vya habari zinazotarajiwa kutokea siku za mbeleni kwa mashabiki wa Topolo.
 
Back
Top Bottom