Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Walipogunduliwa kutumia dawa za kuongeza nguvu leo wakaamua kucheza hivi hivi.Mara paap vitatu.
Safari ya kuchezea Chamazi ndio imeisha kuanzia leo.
Gamondi nae aanze kufungasha virago.Gongowazi leo Jangwani hapakaliki.
 
Mbona mapema hivi nyie mashabiki wa Yanga? Mbona hata Ulaya timu kubwa kabisa huwa zinafungwa na timu ndogo na na huwa inachukuliwa kama sehemu ya mchezo. Kufungwa mechi 2 tu, Mnataka benchi la ufundi lifukuzwe?
Majuzi tu hapa Barcelona imefungwa magoli 4-2 na timu inayodhaniwa kuwa ndogo. Hamuwezi kuwa mnashinda tu kila mchezo. Kuna kupanda na kushuka. Tuwe wavumilivu tunapofungwa kama tunavyofurahia timu inaposhinda.
 
Hiyo relativity ndiyo inachukua vidole
Usilolijuwa ni usiku wakiza.

Nimeuliza wenye fani zao za ayansi iliyojificha )(hidden science), fata jibu huko, kama una maswali zaidi kaulize huko:

 
Ngoja tuone kwa upande wa waajiri wake. Ila ningekuwa mimi ndiyo mwajiri, ningemtimu kocha na bechi lake la ufundi ili kurejesha nidhamu na morali kwenye timu.
Ninachokiona ni uchovu tu wachezaji wametumika sana week hizi mbili non stop na majeraha kadi tena sehemu zile muhimu muhimu sana.

Yaani aucho ndiyo wa kuzima beki ya kati kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…