Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
All the best unawatakia safari njema kutoka Chamazi kurudi AvicAll the best Young Africans Sports Club, The Best Team in East and Central Africa⚽
Cha msingi wasisahau basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
All the best unawatakia safari njema kutoka Chamazi kurudi AvicAll the best Young Africans Sports Club, The Best Team in East and Central Africa⚽
Hiyo relativity ndiyo inachukua vidoleSiyo ugganga wala uchawi, ni sayansi tu. Kuna kitu kinaitwa "relativity" kwenye sayansi, kisome hicho ukielewe.
Vitabu vya dini vinasema muomba kidogo, Mungu humuongezeaKila la kheir Tabora FC.
FT: Young Africans 0 VS 1 Tabora FC.
Nani hao???Watuachie timu yetuuu
Mkuu mbona Mlikuwa hamshambuliwi. Hii sababu mufirisi
Hapa Gamond alikuwa clean kabisaKila la heri kwa Wananchi Young Africans. 💛💚💪 Ushindi kwenu ni muhimu sana, huku mkitambua fika kila timu ya ligi kuu kwa sasa inawaza kuwakamia tu ili msiwe mabingwa kwa miaka 10 mfululizo.
Hii ya leo ni tupigwe tuwale, sio ubaya Wala ubwela Tena.Bado hujasema utasema tu.Ubaya Ubwela.
Mbona mapema hivi nyie mashabiki wa Yanga? Mbona hata Ulaya timu kubwa kabisa huwa zinafungwa na timu ndogo na na huwa inachukuliwa kama sehemu ya mchezo. Kufungwa mechi 2 tu, Mnataka benchi la ufundi lifukuzwe?Mimi sina shida. Navumilia vizuri tu. Ila tukija kwenye timu; no way out! Kocha na benchi lake la ufundi, wanatakiwa kutolewa sadaka ili maisha nayo kwenye timu yaendelee.
By the way, ni jukumu la viongozi kuamua cha kufanya. Ila kiukweli timu inahitaji mabadiliko ya benchi la ufundi.
Usilolijuwa ni usiku wakiza.Hiyo relativity ndiyo inachukua vidole
Na kweli tumeyaonaLeo kuna magoli mengi nashauri tabora wagome kuingiza timu waepuke aibu!
Ninachokiona ni uchovu tu wachezaji wametumika sana week hizi mbili non stop na majeraha kadi tena sehemu zile muhimu muhimu sana.Ngoja tuone kwa upande wa waajiri wake. Ila ningekuwa mimi ndiyo mwajiri, ningemtimu kocha na bechi lake la ufundi ili kurejesha nidhamu na morali kwenye timu.