EmanuelSTZ
Member
- Sep 4, 2024
- 77
- 111
magori ni mengi kweli utopwinyo1~3 Tabora Vp kwan kuna shido hapoLeo kuna magoli mengi nashauri tabora wagome kuingiza timu waepuke aibu!
Yanga hii unaifungajeee πΉVipi mmefungwaje??
Chamanzi kuna jambo sio bureWalipogunduliwa kutumia dawa za kuongeza nguvu leo wakaamua kucheza hivi hivi.Mara paap vitatu.
Safari ya kuchezea Chamazi ndio imeisha kuanzia leo.
Gamondi nae aanze kufungasha virago.Gongowazi leo Jangwani hapakaliki.
Hapo kwa aucho ndiyo nashangaa why anacheza yeye tu? Lazima achoke yaani mkude wamemfanya kuni ya akibaMkude na Sure Boy wana uwezo wa kucheza namba ya Aucho! Lakini hawapewi nafasi. Kwa hali hiyo baadhi yao watahindwa vipi kuwa na fatique!! Wachezaji kila mechi ni wale wale! Na wanacheza mpira ule ule!!
That means kocha ameishiwa mbinu.
Kwani leo imekuajeee?Yanga hii unaifungajeee πΉ
Weee, chezea nyuki weye. Masega ma3 yame attack kwa wakati mmojaLakini mashabiki wao huwa wanadai kipa wao hata mishale huwa anadaka! Sijui leo imekuwaje?
Hahaha mzee wa ch..pi upande πππππππHapo kwa aucho ndiyo nashangaa why anacheza yeye tu? Lazima achoke yaani mkude wamemfanya kuni ya akiba
Gamondi anafikirisha sometimes nkane leo ndiyo alikuwa uchochoro
Watakua hawakuenda na matikiti na zile sindano zao!!Dawa imeonekana kwenye CCTV NGUVU imeishaπ€π€π€
Oya sisi acha tufungwe na kina Tabora na azamHahaha mzee wa ch..pi upande πππππππ
Simba Wameshtuka mapema huo uwanja tuwaachie Azam wenyewe, ni aibu sana Simba na Yanga hawana viwanja vya nyumbani ambapo unaweza kufanya lolote kabla ya mechi.Wadau kina zipompa Dr Matola PhD wameshuku huo uwanja umefanyiwa uswahili....πππ
Yanga hakuna machizi kama wewe, timu isifungwe hiyo ligi ni ya nini sasa? Hebu angalia EPL ujifunze mpira.GSM+Injinia tuachieni timu yetu
Mtoto kautaka, mtoto kautaka, mtoto kautaka...π€£π€£π€£View attachment 3146390