Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Nina hakika yatabaki hivihivi. Last match tuliposema vyura wa jangwani wamebikiriwa mashabiki wao hawakutuelewa nadhani sasa wametuelewaMatokeo ya Baki ivyo ivyo ☺️☺️😁😁😊😊🤣🤣😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina hakika yatabaki hivihivi. Last match tuliposema vyura wa jangwani wamebikiriwa mashabiki wao hawakutuelewa nadhani sasa wametuelewaMatokeo ya Baki ivyo ivyo ☺️☺️😁😁😊😊🤣🤣😂😂
Pole sanaYanga leo wamelipa hela kidogo ya kutumia uwanja maana hata matangazo ya kielectronic hayajawashwa
Supu zilizolalaMuda wa tizi mlikua mnakunywa supu Leo kazi mnayo🤣🤣🤣
We kolo wawapi Yanga ni team au mautumbo utumboLeo kuna magoli mengi nashauri tabora wagome kuingiza timu waepuke aibu!
Huyu Refa Hawezi Kubari Iwe HiviNina hakika yatabaki hivihivi. Last match tuliposema vyura wa jangwani wamebikiriwa mashabiki wao hawakutuelewa nadhani sasa wametuelewa
una cha kuongezea paula ?Oyaaa....embu tulieni ....gamondi anakuja na comeback ya hatari FT yanga 3 tabora 2
Ha ha ha ha ha ha usikate tamaa mkuu tunarudisha yote hayadaah ngoja nkaone vitu vya engonga tu hapa
Gamondi anazidiwa ujuzi na Aziz KiNawasikia mashabiki wa Yanga wanaelekeza wachezaji jinsi ya kupasiana. Ina maana hawaamini Gamondi alichowafundisha wachezaji wao?
Acha Tuone Hapa Hapa JFHii mechi inaisha 5 - 2
Kwa nini? Oyaa kwanza nambie dakika ya ngapi ubaoni hapo?Huyu Refa Hawezi Kubari Iwe Hivi