princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Yanga imekua madrid 🙌
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyinyi mna lingine zaidi ya points. Furahieni, maana hamna furaha nyingine zaidi ya hii.Mkuu ni ligi hii ukidondoaha point ni furaha kwa mshindani wako
Yanga hii imefungwaje?🙆🏾♀️Tatizo la mabeki linatufanya yote haya. Kulikua na sababu gani ya kumuacha Gift Fredy. Halafu ukajaza kule wakina Baleke ambao huwatumii sana.
JIkaze kama Walivyojikaza Simba mwaka mzima mpaka wamezoeaNitaweka wapi sura yangu hapa Burundi vijijin