GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Bila usaidizi wa marefa na makosa ya kibinadamu nyie ni wapesi sana3 attempts goli tatu,daah siku ndefu hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila usaidizi wa marefa na makosa ya kibinadamu nyie ni wapesi sana3 attempts goli tatu,daah siku ndefu hii.
Teh teh 😃 😃 😃 😃 Yanga hii unaifungajeeee....🎶🎵🎼Nyinyi mna lingine zaidi ya points. Furahieni, maana hamna furaha nyingine zaidi ya hii.
Ahsante kwa salamu, nimezipokea mkuu..!
Unawaona akina Bacca na JobMabeki mbona sio kama ninavyowajua kuna nini
Azizi kii kazi kupiga domo akiwa njee
Kweli huu ni muujiza bwana ametenda🤣🤣Aposto kuna muujiza huku!
Una haki ya kuongea ndio muda wako.Bila usaidizi wa marefa na makosa ya kibinadamu nyie ni wapesi sana
Wooow!... karibu Sana rafiki...🌹🌹🌺🌺Ahsante kwa salamu, nimezipokea mkuu..!
TUMENYOOSHWA KWA KWELI SIJUI WATAWEKA MABANGOMechi: Yanga SC VS Tabora United
Ligi: NBC Premier League
Uwanja: Azam Complex
Tarehe: November 7,024
Muda: 🕖 6:00PM
View attachment 3145701
Dakika, 11 Si Yanga wala Tabora hakuna timu iliyopata goli hadi sasa.
Dakika, 15 Mchezo umendelea kuwa mzuri timu zote zinacheza kwa utulivu sana.
Dakika, 19 Tabora wanapata goli kupitia Chikola.
Dakika, 30 Yanga wanaendelea kufanya mashambulizi hadi sasa bado awajapata kusawazisha goli.
Dakika, 34 Mlinda mlango wa Tabora amekuwa bora kudaka mipira hatari kutoka kwa Yanga.
Dakika, 44 Bado ngoma ngumu kwa Yanga hadi sasa. Tabora wakiwa bado wapo mbele.
Dakika 4 zimeongezwa kutamatika dakika 45 za kipindi cha kwanza.
Dakika, 47 Yanga wanapata penati.
Dakika, 48 Tabora wanapata goli la pili kutoka kwa Chikola.
Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimekamilika.
Dakika 45 za kipindi cha pili kimeanza Je Yanga atafanya maajabu ya soka kusawazisha magoli mawili.
Dakika, 54 Hussen Masalanga anatoka baada ya kupata maumivu.
Dakika, 59 Yanga wanaendelea kulisakama goli la Tabora lakini mambo ni magumu
Mpaka leo huwa nashindwa kupata jibu la hili swali sijui tulifeli wapi SimbaHawa vyura waliwafungaje simba?!