Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Kama ningekuwa nimeanza kufuatilia mpira jana basi ningesema tabora ni timu kubwa kwa kuangalia mwenendo wao wa msimu huu tu, tabora hii hii ambayo msimu uliopita imeponea chupuchupu kushuka daraja ndio mara hii imeshakuwa timu kubwa, nasisitiza kauli yenu mlisema mna kikosi kipana na leo hamko pungufu sasa shida iko wapi leo hii beki mmoja tu kukosekana kikosi kimeflop
hufahamu usajili wa tabora msimu huu mkuu acha ubishi, rejea mechi ya simba na tabora wachezaji wangapi hawakuwepo
 
Back
Top Bottom