Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Kosa kubwa kabisa walilofanya na wanaloendelea kulifanya Yanga ni kutorfudisha Manara kwenye kazi zake pale Yanga.

Watu kama ytule, vinatafutwa hata vipande vya kidole chao tena ha mfu kwa thamani yoyote ile, leo kawajia mzima yu hai, anapumuwa, mmeshindwa kuijuwa thamani yake. Mgtalia sana.

Ngoja nikamuulize@Arsis thamani ya Manara.
Tafuta kaniki uanze uganga
 
Tatizo lilianzia kwa Mr domo
 
Attachments

  • Screenshot_20241107_195843_Instagram.jpg
    Screenshot_20241107_195843_Instagram.jpg
    208.7 KB · Views: 1
Kosa kubwa kabisa walilofanya na wanaloendelea kulifanya Yanga ni kutorfudisha Manara kwenye kazi zake pale Yanga.

Watu kama ytule, vinatafutwa hata vipande vya kidole chao tena ha mfu kwa thamani yoyote ile, leo kawajia mzima yu hai, anapumuwa, mmeshindwa kuijuwa thamani yake. Mgtalia sana.

Ngoja nikamuulize@Arsis thamani ya Manara.
Manara anacheza namba ngapi uwanjani?
 
Back
Top Bottom