pesakilakitu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 1,618
- 2,861
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akiinunua na kuihamishia singida namshauri jina la timu liwe singida wonderers fc na kwenye nembo ya timu kitungu kiwepo badala ya alizeti iliyozoeleka kwenye timu zakeMwigulu tawi jengine hili liko sokoni baada ya timu yako mama kufungwa fanya kama kawaida yako nunua tabora hamishia singida
Walisema gamondi ni masta wa mpira [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hukusema wakati ligi imeanza [emoji3][emoji3][emoji3]. Vumilieni tu
On top of that, kuna baadhi ya sajili zimefanyika ambazo hazikuwa mapendekezo ya mwalimu.Ukweli lazima usemwe. Uongozi usippchukua hatua za haraka, mambo yanaweza kuharibika zaidi. Kiufupi kocha Gamondi mbinu zake kwa sasa zinasomeka kirahisi kwa wapinzani wake.
KhaaaaaPongezi ziende kwa Mama. Mama anaupiga mwingi sana, watanzania wanabubujikwa na machozi ya furaha Lucas Mwashambwa
Gamond ana wachezaji ambao anashindwa kuwatumia. Hizi mechi mbili anapaswa kuzichukulia kama some, tangu ligi ianze Yanga ina shida hasa kumalizia mipira ya mwisho.Mimi sina shida. Navumilia vizuri tu. Ila tukija kwenye timu; no way out! Kocha na benchi lake la ufundi, wanatakiwa kutolewa sadaka ili maisha nayo kwenye timu yaendelee.
By the way, ni jukumu la viongozi kuamua cha kufanya. Ila kiukweli timu inahitaji mabadiliko ya benchi la ufundi.
Huyoooo mtoto huyoooooooooo
Huyo mtooootooooo huyoooooo
Dalili ya mvua ni mawingu. Timu ilianza kwa kupata ushindi wa kagoli kamoja! Mwishoni imeanza kupokea vichapo mfulilizo.Mara hii!?
Timu icheze ikiwa imevua kaptulaNini kifanyikee kipindi cha tatu