Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
Hawa utopolo wapelekwe kwa baltazari🐸🐸🐸🔥🔥🔥🔥
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kosa kubwa kabisa walilofanya na wanaloendelea kulifanya Yanga ni kutorfudisha Manara kwenye kazi zake pale Yanga.
Watu kama tule, vinatafutwa hata vipande vya kidole chao tena ha mfu kwa thamani yoyote ile, leo kawajia mzima yu hai, anapumuwa, mmeshindwa kuijuwa thamani yake. Mtalia sana.
Ngoja nikamuulize@Arsis thamani ya Manara.
🤣🤣🤣🤣Yanga 6 0 Tabora hutaki andamana
Amphibia wanaweza kuliwa kichwa
Hapo ndipo ulipo mchanganya MunguUshindi lazima Leo
Bado hujasema utasema tu.Ubaya Ubwela.Mbona kama nahisi hapa Kuna uuzaji wa mechi, hili watu wapige hela kwenye betting?
Dawa imeonekana kwenye CCTV NGUVU imeisha🤓🤓🤓Utopolo Wamekosea masharti ya mganga dawa ya kuogea wao wamekunywa
Kabao kamoja mmekapata kama ilivyokuwa kawaida yenuUshindi wa Yanga wa kabao kamoja kamoja kweli haunipi faraja yoyote; ni kama Yanga imeanza kuishiwa pumzi.
Ngoja tuone kwa upande wa waajiri wake. Ila ningekuwa mimi ndiyo mwajiri, ningemtimu kocha na bechi lake la ufundi ili kurejesha nidhamu na morali kwenye timu.Chief umefika mbali sana
Tumpe muda
hapana hirizi ili-expire juzi mganga hawajamuongezea hela ake iliai-update hiriziWaganga wamepoteza hirizi,😆😆😆😆😆😆😆
Haaahaa 😂 🤣