Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Kosa kubwa kabisa walilofanya na wanaloendelea kulifanya Yanga ni kutorfudisha Manara kwenye kazi zake pale Yanga.

Watu kama tule, vinatafutwa hata vipande vya kidole chao tena ha mfu kwa thamani yoyote ile, leo kawajia mzima yu hai, anapumuwa, mmeshindwa kuijuwa thamani yake. Mtalia sana.

Ngoja nikamuulize@Arsis thamani ya Manara.
Tukisema shule muhimu muwe mnaenda shule mnaona kama tunawanyanyapaa au hatuwapendi. Hizi imani za kishetani kabisa. Ni aibu. Hata ulichoandika we mwenyewe sijui kama unaweza ukakikosa ukakielewa. Mnaabudu ushirikina sana. Na naona Mikia nao ni shida. Imani yako na team yako vyote ni vya kupelekwa Jehanamu.
 
Yanga bingwa
Really Happy Frog.jpeg
 
Mimi leo simlaumu kocha ni mapema sana kumlaumu Gamondi. Leo wachezaji walikuwa hawana Energy yaani hawajitumi unaona kabisa Tabora walikuwa na Energy kuliko sisi hata magoli yalikuwa yanaonekana kabisa kwamba hii move ni goal.
Wamelipwa kweli posho hawa wachezaji?
Wale wajinga walisema sisi tunajidunga sindano za kuongeza nguvu. Mikia hao ndo wameleta hizo taarifa kwa sababu ya yale mabomba waliyo yaona kule room kwetu. Sasa leo tumecheza bila hayo mabomba wafurahi wao mbwa hao
 
Wananchi, Young Africans Sc wamepoteza mchezo wa pili mfululizo kwenye Ligi Kuu bara kufuatia kipigo cha 3-1 dhidi ya Nyuki wa Tabora katika dimba la Azam Complex, Chamazi.
View attachment 3146470
Kwa kipigo hicho, Yanga Sc wanasalia nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi wakiwa na pointi 24 baada ya mechi 10 huku Tabora United wakisalia nafasi ya 6 pointi 17 baada ya mechi 11.

Yanga Sc 1-3 Tabora United
âš½ 90+5' Mzize
âš½ 19' Chikola
âš½ 45+3' Chikola
âš½ 77' Munganga

#KitengeSports
Huu Mpira ungeisha Kwa wakati wasingeambulia hata goli. Wamebeba wee imeshindikana🤓
 
Back
Top Bottom