Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024

Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024

20241229_150556.jpg

Una maoni gani kwa Kikosi hiki?
 
Nimechelewa kwenye mishe mishe; nilitaka kuwahi nianzishe uzi huu ila tena umeshanipiku. Ngoja nitafanya taimingi nzuri kuanzisha uzi wa wakati wa mchezo dhidi ya TP Mazembe.

Nitafurahi sana iwapo Yanga itapata mabao 5-0 ili kuondoa pengo la Goal Difference dhidi ya Simba
Yote yanawezekana Kabisa.
 
Aaaah watoto wanahujumiwa

Badala ya kupewa freekick kutokana na kusukumwa lakini refa kaweka kona mpira ambao uliguswa baada ya mchezaji wa Fountain kusukumwa na mchezaji wa Yanga
 
Aaaah watoto wanahujumiwa

Badala ya kupewa freekick kutokana na kusukumwa lakini refa kaweka kona mpira ambao uliguswa baada ya mchezaji wa Fountain kusukumwa na mchezaji wa Yanga
Kolo tulia
 
Back
Top Bottom