Full Time: Young Africans SC 1-0 Coastal Union| NBC premier League | 07.04.2025| KMC Complex

Full Time: Young Africans SC 1-0 Coastal Union| NBC premier League | 07.04.2025| KMC Complex

Hawa hamna kitu hapa wa kuwategemea ni azam, azam wakishinda au hata wakitoa nao draw, mbona wataomba wenyewe derby ichezwe tu
Huwa zikibakia mechi chache ligi kuisha, Yanga huwa wanatafuna kila kitakacho onekana mbele yao. Kwa hiyo hata Azam naye ajiandae tu kwa kipigo. Hakuna atakayeachwa.

No way out.
 
Back
Top Bottom