Full Time: Young Africans SC 1-0 Coastal Union| NBC premier League | 07.04.2025| KMC Complex

Full Time: Young Africans SC 1-0 Coastal Union| NBC premier League | 07.04.2025| KMC Complex

Vipi wazee wenu wameshapata access ya uwanja kwaajili ya kuroga na kupulizia mnavyopulizia vyumbani?
Maana wazee wenu wanalilia tu
Ndugu 🐸 mnacheza mechi kugombea kombe gani leo?
 
Yanga Msiniangushe Bhna nawategemea
😭
43bfa208bcb54e26a9a4c4e7fe5777b1.jpg
 
Hawa kwa mpira huu tuliambiwa tuliwakimbia? Tawi lao tu linawatoa jasho
 
Wekundu wa Msimbazi hapa kwenye msimamo inaonekana timu yako ya Simba inashika nafasi ya pili. Ni kombe gani hilo?
Itifaki inakutaka ujibu swali kabla ya kuuliza swali.

Leta jibu "Ndugu 🐸 mnacheza mechi kugombea kombe gani leo?
 
Back
Top Bottom