YANGA BINGWA!
Huwa zikibakia mechi chache ligi kuisha, Yanga huwa wanatafuna kila kitakacho onekana mbele yao. Kwa hiyo hata Azam naye ajiandae tu kwa kipigo. Hakuna atakayeachwa.Hawa hamna kitu hapa wa kuwategemea ni azam, azam wakishinda au hata wakitoa nao draw, mbona wataomba wenyewe derby ichezwe tu
Hii mvua vipi?
Kumeanza kuchangamkaGSM Vs GSM 🤣🤣🤣
Tupo KMC tayari🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇🔰
🏆 #NBCPremierLeague
⚽️ Young Africans SC🆚Coastal Union
📆 07.04.2025
🏟 KMC Complex
🕖 10:00 Jioni
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
View attachment 3295293
Wamefunga?Pacomeeee.
Goal.
Jumatano GSM anaenda kuidhamini Al Masry.GSM Vs GSM 🤣🤣🤣