Full Time: Young Africans SC 1-0 Coastal Union| NBC premier League | 07.04.2025| KMC Complex

Aucho nje. HAPA Azam mbona kama anaanza kunuoa visu?
 
Aucho nje. HAPA Azam mbona kama anaanza kunuoa visu?
Pacome naye ajiangalie namna anavyoenda kupoka mipira, anaingia vibaya sana huenda ikampelekea kuumia asipokuwa makini
 
Ndugu [emoji196] mnacheza mechi kugombea kombe gani leo?
Vipi wazee wenu wameshapata access ya uwanja kwaajili ya kuroga na kupulizia mnavyopulizia vyumbani?
Maana wazee wenu wanalilia tu
 
Huyu inaonekana kajitonesha jeraha hakupona ipasavyo
Naanza kuelewa msimamo wa uongozi wa kukataa kucheza Derby nyingine, inaonekana wanataka kupanga tarehe mbovu wachezaji muhimu wakiwa na majeruhi au kadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…