Ndugu 🐸 mnacheza mechi kugombea kombe gani leo?Al masry wanakuja kupiga kwenye mshono.
Be prepared.
Ndugu 🐸 mnacheza mechi kugombea kombe gani leo?Vipi wazee wenu wameshapata access ya uwanja kwaajili ya kuroga na kupulizia mnavyopulizia vyumbani?
Maana wazee wenu wanalilia tu
Nani?Huyo achelewi kukimbia humu
Pole sana japo mkeka umechukua kule X.com ila kipa wa Coastal Union ni habari nyingine kwa leo.
😀😀
Wekundu wa Msimbazi hapa kwenye msimamo inaonekana timu yako ya Simba inashika nafasi ya pili. Ni kombe gani hilo?Ndugu [emoji196] mnacheza mechi kugombea kombe gani leo?
Wanazinguaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanafanya ujinga wanaweza toa droo..
Cashout
kufuzu club bingwa mwakaniNdugu 🐸 mnacheza mechi kugombea kombe gani leo?
huyu kipa wa costal katumwa mkuu kupata goli hizo n ngumu chukua chako ama kama una moyo mgumu subiri
Mbona ligi ya mabingwa mwaka huu haijafika tamati, kulikoni hamshiriki mabingwa wetu?kufuzu club bingwa mwakani
hapo muhindi hawezi kukupa cashout hata kidogoCashout
Fungeni hilo tawi lenu kwanza maana mkikaa vibaya wachomoa hizo goliSimba tunawataha hata leo
Itifaki inakutaka ujibu swali kabla ya kuuliza swali.Wekundu wa Msimbazi hapa kwenye msimamo inaonekana timu yako ya Simba inashika nafasi ya pili. Ni kombe gani hilo?