Full Time: Young Africans SC 1-0 Coastal Union| NBC premier League | 07.04.2025| KMC Complex

Mechi imepoa kama supu ya vibudu.... haina mvuto kabisa😁🤣🤣😅
 
Teknolojia ya AZAM mbona ya kidwanzi. Mvua kidogo tu maishi yanaapata baridi na kukata mitambo?
sio azam mkuu ni satellite ndo maan vya antena haviyumbi
 
Kuna mechi nyingine Alhamisi tu hapa ambayo ni nguvu sana bora ilivyopatikana point 3 zimebakia mechi 6 za kuchanga karata za ushindi.
mechi ifuatayo mtu anatakiwa apigwe nyingi sana
 
Nguvu na akili zote zipo Chamazi
Tukutane Alhamis
 
Ingawa point tatu zimebaki jangwani, ni aibu kwa Yanga kushinda kwa kabao kamoja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…