Full Time: Young Africans SC 1-0 Coastal Union| NBC premier League | 07.04.2025| KMC Complex

Wachezaji wamepoteza nafasi nyingi za wazi! Kocha wetu naye kachelewa kufanya mabadiliko ya akina Chama!

All in all, tunashukuru kwa ushindi na pia kwa kupata pointi 3 muhimu.
Itakuwa haujatenda haki kama usiposifu umahiri wa golikipa wa Coastal Union kwa mechi ya leo.
 
πŒπ€π πŽπ… 𝐓𝐇𝐄 πŒπ€π“π‚π‡ ni yule yule El Professor Pacome ZouZoua πŸ”°πŸ™ŒπŸ½

#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
 
Itakuwa haujatenda haki kama usiposifu umahiri wa golikipa wa Coastal Union kwa mechi ya leo.
Uko sahihi. Amedaka vizuri. Ila baadhi ya nafasi zilihitaji zaidi utulivu ili kufunga. Na hasa pale mshambuliaji anapojikuta yuko uso kwa uso na mlinda mlango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…