Tunawaombea mkuu ila mkifungwa pia tutafurahiπHii mechi Yanga tunachomoa na kushinda juu, subirini
Tunashinda mbona hata simba alitanguliwa mechi zake mbili za mwisho lakini ikashinda
ni kweli na wewe panga kama ni rahisiLeo ndio nimeamin kua yanga hua wanapanga matokeo kwenye hizi game za lingi kuu
Diara au Baka?Yanga wametaka kujifunga hapa. Diara vipi tena
Mazembe wana miili midogo lakini ni wakubwa; msiwadharau. Mdharau mwiba mguuu umeishaota tende.π°ππππ ππππππ°
π TotalEnergiesCAFCL
β½οΈ Young Africans SCπTP Mazembe
π 04.01.2025
π Benjamin Mkapa
π 4PM (EAT)
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwikoView attachment 3191850
Ubaya ubwege achen maneno kutanguliwa kwenye game kawaida tuYanga waache kununua mechi za ligi Nbc. Vinginevyo watafungwa sana kimatifa