Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunawaombea mkuu ila mkifungwa pia tutafurahi😅Hii mechi Yanga tunachomoa na kushinda juu, subirini
Tunashinda mbona hata simba alitanguliwa mechi zake mbili za mwisho lakini ikashinda
ni kweli na wewe panga kama ni rahisiLeo ndio nimeamin kua yanga hua wanapanga matokeo kwenye hizi game za lingi kuu
Diara au Baka?Yanga wametaka kujifunga hapa. Diara vipi tena
Mazembe wana miili midogo lakini ni wakubwa; msiwadharau. Mdharau mwiba mguuu umeishaota tende.🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇🔰
🏆 TotalEnergiesCAFCL
⚽️ Young Africans SC🆚TP Mazembe
📆 04.01.2025
🏟 Benjamin Mkapa
🕖 4PM (EAT)
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwikoView attachment 3191850
Ubaya ubwege achen maneno kutanguliwa kwenye game kawaida tuYanga waache kununua mechi za ligi Nbc. Vinginevyo watafungwa sana kimatifa