Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
-
- #821
Na mkeka wangu uka[emoji736]Hii mechi Yanga tunachomoa na kushinda juu, subirini
Tuwasamehe watani wetuNina kikao kizito na mods hapa mliotoa ahadi ya banned soon mnafikiwa π
Ahahahah hahahaπ π€£π
GoliMnachomoa nini ?
πππππππ Ahadi ni deniTuwasamehe watani wetu
Kesho wakifungwa huko Tunisia tutampopoa nani?
Hawa ni watani sio maadui, japo tumpe heshima Rage
Kesho Tunisia tunaomba kila baya liwakuteAhahahah hahaha
Tuwasamehe tu kikubwa tumpe heshima Rageπππππππ Ahadi ni deni
Shindwa pepo mchfu...Kesho Tunisia tunaomba kila baya liwakute
Kwani utopolo hawajafungwa? Si wamefungwa goli 1Hii hata ukifuta nimeripoti ππππ soon unafikiwa mwanetu
Pole mdau, jaribu kupunguza matumizi ya pikipiki kwa sasa ni hatari sanaNilipata ajali ya pikipiki nimechubuka sana ila sijaumia sana mkuu nilikuwa naenda uwanjani Leo saa 8 ndio nimepata majanga mkuu
Shukrani sana kakaPole mdau, jaribu kupunguza matumizi ya pikipiki kwa sasa ni hatari sana
Soon utalia mwanetu πKwani utopolo hawajafungwa? Si wamefungwa goli 1
Pole sana mkuuNilipata ajali ya pikipiki nimechubuka sana ila sijaumia sana mkuu nilikuwa naenda uwanjani Leo saa 8 ndio nimepata majanga mkuu
Shukrani sana kakaPole sana mkuu
KunduloWakati wenzenu wanajiandaa na mechi nyie mlikua bize kudai viti mae zenu
Hongera sana mtani,kazi nzuri mnooo.Ungeweka 3 ππ
Sawa KakaPoa.Mtatueleza ligi ya wanaume kina mama mmefata nini?
Kwa nkapa hatoki ntuKwa mkaaapa hatoki mtu
Bahati nzuri mwanasheria ninae atalipa mtu fidiaSoon utalia mwanetu π