kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Mpiga ban ni nani mheshimiwa ModeratorUtopolo asipofungwa leo nipigwe ban wiki 1
ndo huo ijinga anafanya apoMzize huwa ni sub nzuri....! Akianza mtamjua yeye ni nani?
Umo humu kufuatilia aibu?!Mambo ya aibu kabisa
Mambo ya aibu kabisa
Yule mwingine hana uzoefu na mechi hizidiara wa nini sasa leo?😾😾😾
We mbona umo humu kufatilia hiyo aibu!?Umo humu kufuatilia aibu?!
Nipen link ya kuangalia online