FULL TIME: Young Africans SC 3-1 TP Mazembe| CAF CL |Benjamin Mkapa | 04.01.2025

FULL TIME: Young Africans SC 3-1 TP Mazembe| CAF CL |Benjamin Mkapa | 04.01.2025

Eeeh Baba Leo Hawa Wazembe tunaomba tuwapasue 2 tu!
20250103_132414.jpg
 
Mechi ya Leo inamatokeo matatu YANGA ashinde, Tp mazembe afungwe au vyote kwa pamoja
 
Sijaona umuhimu wa kumpanga Diarra wangemuacha Mshery mwenye muendelezo mzuri wa kutokuruhusu goli nyavuni kwake
 
Kila la kheri Timu ya Wananchi.

Kikubwa tunachohitaji ni points tatu walau zituongezee morali zaidi katika kisaka points zingine sita ili tujiwekee uhakika wa kuvuka robo fainali.

"DaimaMbeleNyumaMwiko.

Gusa, achia, twende kwao.
Mimi ni Yanga ila leo Sina Imani kabisa
 
Back
Top Bottom