FULL TIME: Young Africans SC 3-1 TP Mazembe| CAF CL |Benjamin Mkapa | 04.01.2025

FULL TIME: Young Africans SC 3-1 TP Mazembe| CAF CL |Benjamin Mkapa | 04.01.2025

Kila la kheri Timu ya Wananchi.

Kikubwa tunachohitaji ni points tatu walau zituongezee morali zaidi katika kisaka points zingine sita ili tujiwekee uhakika wa kuvuka robo fainali.

"DaimaMbeleNyumaMwiko.

Gusa, achia, twende kwao.
 
Leo 4/1/2025 ndio siku rasmi ya nyuma mwiko kuyaaga mashindano na tp englabaa mazembe atawachimbia yanga kaburi na kuwazika wazima wazima.

Naomba tuwaimbie mapambio yanga;

Parapandaa, italia parapandaa
Parapandaa, italiaa parapandaa

Watakuwa wamekwisha kumlaki bwana yesu mawinguni

Parapandaa, italia parapanda
Parapandaa, italia parapanda

Tp mazembe 2 Wachawi fc 0.

"KAFA PAKA, KAZIKWA NYAU"

"A man called Gonamwitu"
Mbumbumbu katika ubora wake wa ki NGADA
 
Mechi ya leo ni kama Bonanza la Mei Mosi, hakuna maajab kwa Mazembe hii iliyojichokea. Ngoja niendelee kulala tu
IMG_4781.jpeg
 
Back
Top Bottom