FULL TIME: Young Africans SC 3-1 TP Mazembe| CAF CL |Benjamin Mkapa | 04.01.2025

FULL TIME: Young Africans SC 3-1 TP Mazembe| CAF CL |Benjamin Mkapa | 04.01.2025

Pamoja na hayo mechi ya leo ni ngumu kwa Yanga.
Mimi ni 🦁
Inaweza kuwa ngumu ama isiwe ngumu!
Yani kama Yanga watapata goli 2 kipindi cha kwanza Mazembe wamekwisha!
Mana Ramov sio mzee wa second half kama nabi/Gamond
 
Gongowazi anashinda hii mechi

Mazembe ni wabovu zaidi, nitashangaa ikiwa mechi itaisha tofauti na nilivyoandika.
 
Gongowazi anashinda hii mechi

Mazembe ni wabovu zaidi, nitashangaa ikiwa mechi itaisha tofauti na nilivyoandika.
Kwa sababu ya zile mechi za mchongo kaka? Utopolo anakufa leo .

Alafu mechi ina goal nyingi sana hii
 
Gongowazi anashinda hii mechi

Mazembe ni wabovu zaidi, nitashangaa ikiwa mechi itaisha tofauti na nilivyoandika.
Hili jina ulilowaita wananchi sijalipenda.
Usirudie tena
 
Attachments

  • IMG_20210914_182409.jpg
    IMG_20210914_182409.jpg
    562.4 KB · Views: 2
Kwa sababu ya zile mechi za mchongo kaka? Utopolo anakufa leo .

Alafu mechi ina goal nyingi sana hii
Mkuu Mazembe yupo vibaya sana kwenye huu msimu kutokana na vikwazo vya kutosajili.

Halafu ikaja kupata pigo la kuondokewa na wachezaji wa 5 wanaoanza 1st eleven ambao ni

1. Phillipe Kinzumbi ▶️ Club Africain (Winga)

2. Joel Beya ▶️ FAR Rabat (Mshambuliaji)

3. Kelvin Mondeko ▶️ USM Alger (Beki wa kati)

4. Glody Likonza ▶️ USM Alger (Mshambuliaji)

5. Augustine Oladpo ▶️ Esperance Setif (Kiungo)

Naskia kuna time walilazimika kumtumia kipa wao Shaibu kama Striker kutokana na uhaba wa players katika baadhi ya maeneo.
 
Suala La wanayanga kujaza uwanja ni 'Donda'....!
Wengi Wapo vibanda umiza hapa Lupaso uwanja ni Mapengo matupu ..
 
diara wa nini sasa leo?😾😾😾
 
Back
Top Bottom