kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Yanga Jazeni Uwanja.....
Hawa Wachezaji wanaonekana Wanakosa Vibe...
Hawa Wachezaji wanaonekana Wanakosa Vibe...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbn mmesha kaa huku??Yanga 2 tp 1 ft.
Link?
Kipa n mchezaji mkuuYaan kipa ndo anapiga 🤣🤣🤣
Hee Kipa kiaje?Yaan kipa ndo anapiga 🤣🤣🤣
na hao waliopo uwanjan wamekaa kama mandaziYanga Jazeni Uwanja.....
Hawa Wachezaji wanaonekana Wanakosa Vibe...
golikipa sio mchezaj au?Hii ni aibu kuna yimu imefungwa na goli kipa