FULL TIME: Young Africans SC 3-1 TP Mazembe| CAF CL |Benjamin Mkapa | 04.01.2025

Simba, Yanga na Bongo fleva zinatumika kisiasa kuwapumbaza watanzania wasahau haki zao za msingi kama katiba mpya, tume huru na utawala bora. Ukiyawekea simba na yanga tu yanasahau kila kitu,

Eeee Tp Mazembe fungeni haya matakataka yatolewe, Simba nayo itolewe.
Una stress? Mbona kurudia sms kila saa
 
Simba, Yanga na Bongo fleva zinatumika kisiasa kuwapumbaza watanzania wasahau haki zao za msingi kama katiba mpya, tume huru na utawala bora. Ukiyawekea simba na yanga tu yanasahau kila kitu,

Eeee Tp Mazembe fungeni haya matakataka yatolewe, Simba nayo itolewe.
Uko sahihi ila ungeandika mara moja tu ukaeleweka kwa watakaokuelewa , unachofanya hapa ni fujo hizi sasa
 
Simba, Yanga na Bongo fleva zinatumika kisiasa kuwapumbaza watanzania wasahau haki zao za msingi kama katiba mpya, tume huru na utawala bora. Ukiyawekea simba na yanga tu yanasahau kila kitu,

Eeee Tp Mazembe fungeni haya matakataka yatolewe, Simba nayo itolewe.
Una stress wewe, si kuna nyuzi za siasa huko mnapambania katiba, unataka kwenye uzi wa football tujadili katiba au umevuta bangi!? Tafuta hela
 
Back
Top Bottom