FULL TIME: Young Africans SC 3-1 TP Mazembe| CAF CL |Benjamin Mkapa | 04.01.2025

FULL TIME: Young Africans SC 3-1 TP Mazembe| CAF CL |Benjamin Mkapa | 04.01.2025

Mbona hamjajaza uwanja jamanii...yani mpengo mpk sip poa...mlikua hamjiamini?
 
Simba ina ladha yake kwny ligi na huko CAF jamani...ngoja kesho..
 
Hawa mazembe wanafanana kila kitu na Simba fc.
(Mazembe ni Simba waliochangamka)
😂 😂 😂 😂 😂
Simba angeshinda kama angekutana na mazembe hii. Hawa jamaa after kuondoka kwa cream team, ni kama wamekuwa wakijitafuta bila mafanikio
 
Siteseki ila naona kuna muujiza huku....
Sema Mazembe nao wameshuka viwango...bora SIngida Big Stars
Ukifikiwa na gusa achia twende kwao ndio utajua kama mazembe wameshuka ama wamepanda, kwasasa tulia tu kikombe hiki kitawapitia wengi
 
Wakuu, Kipa wa TP Mazembe alikuwa na hirizi.
Ball Boy kaitoa.
Mwishoni imekuwa kazi kweli kweli
 
Mumshukuru sana kayoko.kwa kutotoa red kwa hamza na penalti ya musonda,all in all match kayoko atokuwepo mtegemee kipigo cha mbwa mwizi kukipata
laxy_tz-20250104-0001.jpg
 
Hawa mazembe wanafanana kila kitu na Simba fc.
(Mazembe ni Simba waliochangamka)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sahihi kabisa, Mazembe ni kama Simba. Wana ubingwa wa Afrika mara 5 na ni vigogo wa Caf CL kama Simba...myie endeleeni kujitafuta
 
Back
Top Bottom