FULL TIME: Young Africans SC 3-1 TP Mazembe| CAF CL |Benjamin Mkapa | 04.01.2025

FULL TIME: Young Africans SC 3-1 TP Mazembe| CAF CL |Benjamin Mkapa | 04.01.2025

Mzee unaongea ishu za 13 years back?😀.

Mbona kama umefilisika mawazo na hoja.
Nyie mnaoenda na slogan ya "wakihistoria" leo imekuwaje hamtaki kukumbushwa ya nyuma??

Au ndio nyuma mwiko?
 
💚💛💚💛💚💚
 
ni kweli hawabaki, but kutengeneza team mpya kwa na kufikia viwango vile vile ni safari ndefu, waulize man city iliwachukua muda gani kufikia mafanikio, kutengeneza dream team
Kwani TP Mazembe wanatengezaje timu upya, ni wageni kwenye mashindano?
Wachezaji kuhama ni sehemu ya kuboresha tena.
Yanga ameondoka Mayele, Kisinda, Morrison, Jesus, Bangala, Djuma Shaban, Feisal na Yanga ipo
 
Ameondokewa na wachezaji muhimu 11 ,wamesalia wabovu kama kina Dube,Pacome nk
Bado hoja dhaifu chief.

Simba wameshawahi kuacha wachezaji 7 kila mwaka mtawaliwa lakini wamekua wakifika quarter final.

Hata kama huwapendi young Africans basi kwa Leo wape maua yao.
 
Bado hoja dhaifu chief.

Simba wameshawahi kuacha wachezaji 7 kila mwaka mtawaliwa lakini wamekua wakifika quarter final.

Hata kama huwapendi young Africans basi kwa Leo wape maua yao.
Simba na Yanga wote ni viwete
 
Kwaiyo kesho makolo uko umamani watacheza rede au vikoba?
Maana mpira mzuri umechezwa leo
Timu ya wamama ni hii ambayo hadi kwenye logo yao wapo

Au huyo aliyevaa kisketi utakataa kuwa sio mmama?

Unataka kusema ni Barnaba akiwa kwenye mbanga zake za kusaka trending?
1736009126342.jpeg
 
Kuna mchezaji mpya, nimemuona leo. Yanga tunaweza kuruka naye. Aliletwa akaangalia mpira, nikamfumania parking anaondoka. Yajayo yanafurahisha. Timu anayoichezea nimeisahau kwa furaha niliyonayo.
Yule ni mlinzi.

Sio mlinzi kwa maana ya beki hapana yani kwa jina lakazi tunaweza kusema ni Afande
 
Back
Top Bottom