Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Nyie mnaoenda na slogan ya "wakihistoria" leo imekuwaje hamtaki kukumbushwa ya nyuma??Mzee unaongea ishu za 13 years back?😀.
Mbona kama umefilisika mawazo na hoja.
Au ndio nyuma mwiko?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie mnaoenda na slogan ya "wakihistoria" leo imekuwaje hamtaki kukumbushwa ya nyuma??Mzee unaongea ishu za 13 years back?😀.
Mbona kama umefilisika mawazo na hoja.
Kabisa, Leo timu imeshinda kibabe na uwanja umebaki salama kabisaLipeni viti vya watu sasa
Muite Kikwete au Mzee Manara akutafsirieNdio nini
Ndio wenye akili atiMuite Kikwete au Mzee Manara akutafsirie
Kwani TP Mazembe wanatengezaje timu upya, ni wageni kwenye mashindano?ni kweli hawabaki, but kutengeneza team mpya kwa na kufikia viwango vile vile ni safari ndefu, waulize man city iliwachukua muda gani kufikia mafanikio, kutengeneza dream team
Nimehamia kwenye fair play, sitaki tit for tatMbona Kinyonge
Hatujakuzoea hivyo
Yamesimama mpaka mwezi wa 3Mashindano ya akina mama ambayo Makolo wanaoshiriki ni lini?
Bado hoja dhaifu chief.Ameondokewa na wachezaji muhimu 11 ,wamesalia wabovu kama kina Dube,Pacome nk
Kwaiyo kesho makolo uko umamani watacheza rede au vikoba?Yamesimama mpaka mwezi wa 3
Simba na Yanga wote ni viweteBado hoja dhaifu chief.
Simba wameshawahi kuacha wachezaji 7 kila mwaka mtawaliwa lakini wamekua wakifika quarter final.
Hata kama huwapendi young Africans basi kwa Leo wape maua yao.
Kwani wavunja viti ni kina naniKabisa, Leo timu imeshinda kibabe na uwanja umebaki salama kabisa
Kwa hiyo yanakumbukwa tu ya Tabora, yale 5-1 yalishasahaulika?Ngoja tuwaulize Tabora
Timu ya wamama ni hii ambayo hadi kwenye logo yao wapoKwaiyo kesho makolo uko umamani watacheza rede au vikoba?
Maana mpira mzuri umechezwa leo
Yule ni mlinzi.Kuna mchezaji mpya, nimemuona leo. Yanga tunaweza kuruka naye. Aliletwa akaangalia mpira, nikamfumania parking anaondoka. Yajayo yanafurahisha. Timu anayoichezea nimeisahau kwa furaha niliyonayo.
Wamama wapo shirikishoTimu ya wamama ni hii ambayo hadi kwenye logo yao wapo
Au huyo aliyevaa kisketi utakataa kuwa sio mmama?
Unataka kusema ni Barnaba akiwa kwenye mbanga zake za kusaka trending?
View attachment 3192300
Yanga ni taasisi. Kuna ya wanaume na wanawake. Ipi shida yako hapo kwenye hiyo logo?Timu ya wamama ni hii ambayo hadi kwenye logo yao wapo
Au huyo aliyevaa kisketi utakataa kuwa sio mmama?
Unataka kusema ni Barnaba akiwa kwenye mbanga zake za kusaka trending?
View attachment 3192300
Ficha ujingaTimu ya wamama ni hii ambayo hadi kwenye logo yao wapo
Au huyo aliyevaa kisketi utakataa kuwa sio mmama?
Unataka kusema ni Barnaba akiwa kwenye mbanga zake za kusaka trending?
View attachment 3192300