Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Endeleeni kuota...Ukifikiwa na gusa achia twende kwao ndio utajua kama mazembe wameshuka ama wamepanda, kwasasa tulia tu kikombe hiki kitawapitia wengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endeleeni kuota...Ukifikiwa na gusa achia twende kwao ndio utajua kama mazembe wameshuka ama wamepanda, kwasasa tulia tu kikombe hiki kitawapitia wengi
That's own goal mtf
Nyie wazee mtakua na nguvu hata ya kuvunja viti?? Washingiliaji wenyewe ndo kina priva na the likes..nguvu watoe wapi milenda tuu...hahahaKwani wavunja viti ni kina nani
Waulize TP wana habari zetuNgoja tuwaulize Tabora
Imekuuma sana yaani mwanetuWe ndo haupo timamu
Usitume nguvu huyo hayupo sawa sawaWaulize TP wana habari zetu
Hiyo ladha anayo sana tu huko kwenye mashindano ya wanawake.Simba ina ladha yake kwny ligi na huko CAF jamani...ngoja kesho..
Sawa mwanamke mstaafu...Hiyo ladha anayo sana tu huko kwenye mashindano ya wanawake.
Mazembe ni mbovu anapokutana na Yanga, Simba akitia mguu anakiona cha motoMazembe hii si ya kina 2019-2020, team disorganized ,overrun, hawana hata backup plan uwanjani? Hawa hata tukiwapa singida hawaend mahali
Leo tulizeni nyash, tunazungumzia timu za club bingwa.Sawa mwanamke mstaafu...
Usitupangie....Leo tulizeni nyash, tunazungumzia timu za club bingwa.
Asante.Pole sana sana!
Hifananii mrembo kama wewe kuwa koloKinyonge nini? Unataka niwachekee? Hatucheki na wowote...
Leo nina furaha sanaaaa, Mzize kajua kunifurahishaHeri na kwako mdogo wangu..yani kweli mipira ndo inatukutanisha kutakiana heri jamani?? Umenichoka walai...
Haikuhusu.. !Uto wako nafasi ya ngapi kwenye group?
Hata hainishtui kaka Uto...Hifananii mrembo kama wewe kuwa kolo
Kaotea tuu dyadya...Leo nina furaha sanaaaa, Mzize kajua kunifurahisha
Tutakupiga mawe uko ukoloniHata hainishtui kaka Uto...