FULL VIDEO: Harusi ya Dogo Janja na Irene Uwoya

Mbona nilisikia ni scene mpya ya nyimbo ya Keisha.?
 
Mengi yamesemwa kuhusu Muimbaji Dogo Janja kumuoa Muigizaji Irene Uwoya,
Wengi wamesema kua Tofauti yao ya Umri ni tatizo. Nachotaka kuwaambia umri ni namba tu, Wacha Picha iongee zaidi,
 
Me yan ht cjaamini bado naoma kama movie fulani hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…